Maafisa wawili wa polisi wakamatwa wakiwa na jumla ya KSh. 7MMaafisa wawili wa polisi wamekamatwa katika eneo la magharibi mwa nchi wakiwa na shilingi milioni saba na gari ambalo linadaiwa kununuliwa siku ambayo shilingi milioni 72 ziliibwa jijini Nairobi.

Subscribe to NTV Kenya channel for the latest Kenyan news today and every day. Get news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

#NTV #NTVNews

20 thoughts on “Maafisa wawili wa polisi wakamatwa wakiwa na jumla ya KSh. 7M

  1. Stupid men.. eti they even bought a new subaru. . Shenzi kabisa. . Si wange ngojea tuu sportpesa na wana rudi wa cheze mega millions jackpot na iko 240million…. after tax 180M hivi na upuzi. .. ona sasa wame ji koroga bure

  2. Stupid young men… they threw away their lives for petty money being offered by Betika only for 49kshs… si wange cheza tuu Betika Grand jackpot millions na wawe patient 😂😂😂😂

Comments are closed.